Home
Unlabelled
JK amalizia viporo vya dar kwa kishindo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
te!te!te! JK ni kipenzi cha walio wengi,utake au usitake ,JK hana mpinzani,ni hakika kabisa JK anakubalika mpaka na wanachama wa vyama vya upinzani,nani?anabisha!
ReplyDeletena kile kasebene kake heti
"akina mama wote tumchague" KIKWETE
" Akinababa wote tumcahue" KIKWETE
"Vijana na wazee tumchague" KIKWETE.
Ah! kale kawimbo kamesema kweli
Itachukua upinzania miaka 50 kuweza kuing'oa CCM!
ReplyDeleteTazama hilo ri-reflection la rangi za CCM hapo kwenye gogozi!
The picture is very fantastic!
JK hana mpinzani! Tupende tusipende, ukweli unabaki pale pale
ReplyDeleteDu hii sasa kali kwa mara ya kwanza mgombea uraisi wa CCM anapiga kampeni Kiwalani, muda si mrefu tutamsikia yupo mwenge kituoni. Michuzi usibane hii pls
ReplyDeleteHivi unajua kuna mgombea urais maarufu kaogopa kwenda sehemu nyingine? hajang'aa lindi , mtwara, pemba anaogopa nini? watu wataenda mpaka manzese uwanja wa fisi haina tabu kote kuna watanzania
ReplyDelete