


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HII BWANA SAFI SANA. WACHA WAPIGE KELELE JUMAPILI LAZIME MTU ACHINJIWE BAHARINI
ReplyDeleteMh JK, MH Masha na Mh Diallo, Tuko pamoja nanyi. Tunaahidi kuongeza juhudi ya kampeni yetu ya nyumba kwa nyumba mpaka dakika ya mwisho kuihakikishia CCM USHINDI wa tsunami. CCM DAIMA. INGEMBENSABO SOCIETY (Tawi la mkoa wa Mwanza).
ReplyDeleteExcellent!!!!!!! Wana-Ingembensabo, uzi ni ule ule, RockcityCCM'er.
ReplyDeletekikosi cha ushindi, wembe ni ule ule ushindi, waacheni masela hawana sera wamebakia matusi, kashfa na uongo hukumu yao Oct 31 hii sio nchi ya wahuni yaani wewe unaetegemewa kuwa mbunge unasimama jukwaani na kumtusi raisi wa nchi na tena kakuzidi umri, kuwa hana adabu ajafunzwa na mama yake jana nimesikitika sana ile hotuba ya mwembeyanga iliyoonyeshwa tbc, watz tunakwenda wapi mbona sio utamaduni wetu hawa wahuni wasiokuwa na maadili wametokea wapi? tunataka sera sio matusi mtapata kura za hao wahuni wenzeni lakini kwa wastaarabu hampati kitu
ReplyDeleteCCm Oyeeeeee! Kigumu Chama Cha Mapinduzi....
ReplyDeleteWajameni. Hivi bado mtasema watu woote hao walikuja na mabasi ya kukodi? Kubalini yaishe, lakini jumapili siyo mbali!
ReplyDeleteWapinzani jiandae kushika hatamu mwaka 2060!
ReplyDeleteBwana Michuzi, Mimi ni Msukuma na Mtanzania mzalendo niko Mwanza; siwabagui binadamu wenzangu. Hata hivyo nimesikitishwa sana na baadhi ya ndugu zetu wa kabila moja la kutoka mkoa fulani wa kaskazini kuingiza ukabila katika uchaguzi mwaka huu; hasa kupitia mitandao yao ya kikabila hapa mjini(siri imetoka). Ndio maana wengi wetu tumeamua kukipigia kura CCM.
ReplyDeletematusi na uongo wa chadema mwanza yamegonga mwamba; ha ha ha....
ReplyDeleteHivi kweli Dr Slaa hana mke?
ReplyDeleteAtaingia Ikulu na kimada!
Haikuji kabisa! Dr. Kamuzu banda mwingine....atachukua kimada labda!
Slaa hana mke lakini ana watoto. Mzee Nipashe.
ReplyDelete