Home
Unlabelled
kama baba, kama mwana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mla vichwa ndio nani tena?
ReplyDeleteANAONEKANA KACHOKA NA KAPOTEZA MATUMAINI.
ReplyDeleteAnkal weka hii comment please na ikiwezekana mwambie huyu jamaa asome kama ana internet otherwise print mpe.
ReplyDeleteNapenda kumuuliza huyu jamaa
Je, nyumbani kwake kuna bomba la maji, na kama yupo yanatoka mara ngapi wiki?
Je, nyumbani kwake kuna umeme, na kama upo unakatika mara ngapi kwa wiki?
Je, watoto wake wanasema kwenye shule za serikali, na kama wanasoma huko kuna madawati, waalimu, na vifaa vya kutosha?
Je yeye anataka huyo binti wake aishi katika hali ya maisha anayoishi yeye kwa sasa? Kutembea na viatu vilivyochaa na nguo za mtumba, kula vumbi mitaani na kuumwa na mbu, kupambana na vibaka usiku na mchana, na foleni za magari?
Je yeye anatibia hospital gani? Kama ni hospital binafsi kwa nini asiinde za serikali kwenye huduma nafuu, na kama anaenda kwenye hospital za serikali je kuna huduma za kuridhisha huko? madakitari, vifaa vya kupima wagonjwa, vitanda vya kulala wagonjwa, usafi wa hospitali n.k
Kama yeye hayo maswali hayamhusu sana je ajibu kwa niaba ya watanzania wengi wanaisha hapo Dar haswa na ndugu na jamaa zake wa kule vijijini.
Akisha jibu maswali haya na mengine ambao yatajitokeza, atafakari kwa kina kama kweli huyo binti angekuwa amekuwa na kuwa na uwezo wa kupambanua mambo angevaa hiyo kofia na begi
Mbona anaoneka anaumwa tumbo? Akapime badala ya kushinda kwenye mikutano ya wanasiasa. Afya kwanza, siasa baadae.
ReplyDeleteMichuzi sawa kwa kubania maoni, mimi namjua jamaa kwa jina la John Manyege, wewe unamwita Mananihii, ndio jina gani hilo?
ReplyDelete