Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania ambaye pia ni Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania Jaji Profesa Ibrahim Juma akimkabidhi zawadi ya Jokofu Bi. Philipino Singano baada ya kustaafu utumishi wa umma aliotumikia kwa zaidi ya miaka thelathini katika hafla fupi iliyofanyika ofisi za Tume Dar es Salaam. Mama Singano akiwa na waliokuwa watumishi wenzake katika Tume ya Kurekebisha Sheria katika hafla hiyo. Jaji Profesa Ibrahim Juma akitoa nasaha kwa mama Singano. Baadhi ya watumishi wa Tume wakigonganisha bilauri wakati wa kumuaga mama Singano.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...