

Ndugu habari ya leo kwa heshima na taadhima tunaomba kutumia nafasi hii kutangaza kifo cha mpendwa wetu Anthony Athanas Mihigo aliyejulikana zaidi kama TONNY na wenngine walimfahamu kama TONNY DRAFT, kaka wa Adolf Athanas Mihigo kilichotokea kwa ajali ya gari usiku wa Ijumaa (01/10/2010) kuamkia siku ya jumamosi huko nchini INDIA katika mji wa HYDERABARD alikokuwa akifanya shughuli zake za biashara kwa muda wa miezi miwili iliyopita.
Mipango ya kusafirisha mwili kuuleta hapa Dar Es Salaam kwa mazishi inaenda vyema kwa ushirikiano mkubwa kutoka kwa jamaa zetu walioko huko wakiongozwa na mpambanaji Dougras Makongoro Bwire.
Kwa wale wa Dar msiba upo nyumbani kwa baba wa marehemu eneo la sinza jirani na kituo cha mafuta cha GBP, ni wakati muafaka kufarijiana na kujuliana hali,
Kwa mawasilaino na ndugu pamoja na jamaa kupata “updates” unaweza kuwasiliana na :-
Adolf Mihigo 0713-767680
Tonny Kingunge 0713-552994
Salum Mpugusi 0655-281081
Dougras Makongoro +919985985853
"BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE"
I've received news of the death of TONY DRAFT with great shock. It's hard to believe that you are gone forever but we thank God for your life, your goodness and the big heart you had for everyone. You were not just a colleague, but a friend and true Brother. May the good Lord rest your soul in eternal peace. Amen.
ReplyDeletePius
Hivi huyu ni Anthony niliesoma nae Chnang'ombe Primary enz za 80's na pia walikuwa wanakaa chang'ombe?since then sijawahi mwona.Am shocked the man was very bright.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa na Mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu.
REST IN PEACE TONNY.
Kwa kweli inatupasa tujiandae....
ReplyDeleteDah...Tony was rafiki ,classmate(chang'ombe primary school),vilevile ukubwani akawa mshkaji pale town center...dah very shocking and sad!!!
K1
JAMANI POLENI SANA, KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA, LETS ACCEPT THE FACTS THAT OUR BELOVED HAS PASSED AWAY AND , AS A REMINDER, WE HAVE TO PREPARE OURSELVES FOR THE JOURNEY AS NO ONE IS GUARANTEED TO LIVE FOREVER, OH GOD WHO IS LIKENED TO YOU?
ReplyDeleteRIP Brother
ReplyDeleteAsimwe K
rip tonny
ReplyDeleteMSIBA UPO SINZA MORI KARIBU NA SHELL MPYA YA BIG BONN. WENGI WANAMFAHAMU BABA WA MAREHEMU KAMA MZEE MUTASHOBYA. WATU NI WENGISANA HASA VIJANA INAONESHA MAREHEMU ALIVYOKUWA NA USHIRIKIANO NA WENZAKE.
ReplyDeleteROHO IPUMMZIKE KWA AMANI. AMEN
I am in shock with this sad news, I have known Tony for more than 12yrs and to me he was not only a friend but someone you can count on so manythings. I last saw Tony last year when I was in Dar, as always he had big smile on his face,we talk and joke as always, we will miss you Tony. My Thought and prayers are with his family. RIP Brother
ReplyDeleteRIP rafiki yangu TONNY
ReplyDeleteSijamuona Tonny zaidi ya miaka 20 pale Chang'ombe primary, lakini nimeitambua picha yake bila shaka. R.I.P home boy, My condolences to the family and friends.
ReplyDeleteRIP Tonny! met two years ago,a good business man,very ambitious!Lakini ndo mipango ya Mungu tena,jamani tujiandae! Poleni familia.
ReplyDeleteRest In Peace Tonny,
ReplyDeleteNamkumbuka kutoka Tambaza Secondary School, bashasha lake kutoka madarasani mpaka kwenye michezo, hususan mpira wa kikapu. Machachari katika mijadala lakini kamwe bila ugomvi. Mpenda jumuiya mwenye mwamko ambaye hakusita kusema mabaya kwa njia ya heshima na utani mwingi ambayo haikukwaza waliosemwa.
Rest in Peace Tonny, umekufa ukipigania maisha na hilo linatufariji.
The Tambaza Alumni is mourning you.
R.I.P TONY
ReplyDeletetutakumiss sana
ulikuwa na roho nzuri sana
Tambaza Sec School mate