Mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini kupitia chama cha mapinduzi CCM Lazaro Nyalandu,akicheza ngoma ya kinyaturu,kabla ya kuwahutubia wananchi wa kata ya Mrama hivi karibuni.
Mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini kupitia chama cha mapinduzi CCM Lazaro Nyalandu,akiwahutubia wananchi wa kata ya Mrama hivi karibuni.


Kuna Vijana wamesweka rumande kwa kuvaa suruali mlegezo.
ReplyDeleteWalikuwa wamevalia suruali aina ya Jeans wakiwa wamezifunga kwa mikanda chini ya makalio katika mtindo uitwao “kata k” huku nguo za ndani zikionekana hadharani. Hili liwe fundisho kwa Vijana wote mnaopenda kuiga mambo ya kigeni yasio maadili ya Utamaduni wetu