Ankal Michuzi,
mi mfanyakazi UDOM. Naomba uniwekee tangazo langu kwenye blogu ya jamii.
Nauza pikipiki yangu aina ya HONDA STEED 600CC ya mwaka 2000. Imesajiriwa TRA( T 788 AYR) na nina Log Book yake, ina Bima na Road License ya hadi 2011 na ni nzima inatembea. Haijafunguliwa injini. Niliiagiza moja kwa moja kutoka Japan mwaka 2007 ikapitia Kampala, Bukoba, then Dar then Dodoma.

Mi ni first owner nchini Uganda na hapa TZ.
Aliye na mpango anitafute kwa simu:

+255 784 246 000,
+255 759 246 000.

Nitakuwa nayo Dar es Salaam baada ya wiki 2 tokea sasa.
Bei maelewano...!
Natanguliza shukurani.
MdauEmmanuel Ishengoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sasa utaweka bei?

    ReplyDelete
  2. yaleeee yaleee!kama unauza kitu kwanini usitaje na bei??mbona description nyingine zote umeweka sasa kwanini hutaji bei!!kama ni hivyo haina haja ya kuweka matangazo yenu!!Ushauri wangu kwa ankal kama mtu anauza kitu chake then hataki kuweka bei hadharani,haina haja ya kuweka tangazo lake
    ahsante
    mdau

    ReplyDelete
  3. watu wengine mnakua kama malaya, machangu ndio hawana bei kwao ni maelewano hio ni bidhaa na inatakiwa iwe na bei ili watu watakao kupigia at least wale ambao wanakaribia na bei ulio weka otherwise utapigiwa na mtu analaki moja, au unapenda kupokea sim, kama kazi ya kupokea sim siku nzima basi utaipata, kweli michuzi next time watu waweke bei maana wanaboa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...