Rais wa kampuni ya RBP Oil & Indusrtial Technology Ltd,Mama Rahma Al Harous akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano aliofanya nao wakati akitangaza kukisaidia kituo cha kuendeleza vipaji vya watoto Yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu cha HANANASIF ORPHANAGE CENTER leo katika fukwe ya coco beach jijini dar.Mama Al Harous amechangia kiasi cha sh. milioni 5 na pia amedhamini gharama zote za ujenzi wa studio ya muziki.kushoto ni Mwenyekiti mwanzilishi wa kituo hicho,Hezekia Mwalugaja
Rais wa kampuni ya RBP Oil & Indusrtial Technology Ltd,Mama Rahma Al Harous,akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto yatina na waishio katika mazingira magumu wenye vipaji vya kuimba pamoja na viongozi wa kituo hicho mara baada ya mkutano na waandishi wa habari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wanahitaji msaada. Mungu akujalie wewe na vijana wote.

    ReplyDelete
  2. Dad yangu mpendwa Rahma...Mwenyezi Mungu akujaze zaidi ya unachotoa.
    Mpendwa Dada hata mimi ni mmhitaji, nina shida maomba msaada wako dada mpendwa.
    Nitakuelezea mara tutakapowasiliana kwa simu na msaidizi wako. Namba zangu ni 071 321 1726 na 075 421 1726

    Natanguliza shukrani zangu za awali

    ReplyDelete
  3. Mungu azidi kukubariki, kwa kuendelea kuwalea watoto hawo, mama Gwantwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...