Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete (kulia) akilakiwa kwa furaha na Mwenyekiti wa zamani wa umoja huo, ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu alipowasili kumpa nguvu katika kampeni mjini Unguja
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete (kushoto) akiagana na Mwenyekiti wa zamani wa Umoja huo, ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu ya kwenda kumsalimia babake Masauni, Mh. Hamad Masauni Hamad (kulia).


Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete (kushoto), akimkabidhi Mwenyekiti wa zamani wa Umoja huo, ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu sh. 1,000,000 zilizotolewa na UVCCM kwa ajili ya kusaidia kampeni zake. Hafla hiyo
ilifanyika nyumbani kwa babake Masauni, Unguja. Katikati ni Mkuu wa Usalama na Maadili wa UVCCM Tiafa, Sultani Mipiko.
Mwenyekiti wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM),ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu akimshukuru Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete (kushoto kwake) kwa kitendo chake cha kwenda jimboni kwake kumsaidia katika kampeni. Kushoto ni Mkuu wa Utawala wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Mjini Maghaibi, Augustino Mbogo.
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete (kulia) na Mwenyekiti wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu wakiungana na wanaCCM wenzao kuomba dua baada ya kumaliza mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea huyo jimboni humo.
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete akizungumza na baadhi ya wanaCCM, baada ya kutoka kumnadi Mwenyekiti wa zamani wa Umoja huo, ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu jimboni humo. Picha zote na Richard Mwaikenda








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. nami babangu angekuwa raisi ningepata wazfa kama huu hahaha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...