Jaji Mkuu wa Tanzania Mh.Agustino Ramadhani pamoja na Wah.Majaji wa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu wakiwa katika semina ya Utayarishaji wa Daftari la Maeneo Hatarishi (Risk Register) katika Mahakama,iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar.
Viongozi wa ngazi mbalimbalii katika Mahakama ya Tanzania wakisikiliza kwa makini wakufunzi katika Semina ya Utayarishaji wa Daftari la Maeneo hatarishi(Risk Register) iliyofanyika kwenye Hotel ya EDEMA mjini Morogoro mwishoni mwa wiki.
Jaji Kiongozo Mh.Fakihi Jundu (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wanasemina mara baada ya kumalizika kwa semina iliyofanyika katika Hotel ya EDEMA Mjini Morogoro.Kushoto kwa Jaji Kiongozi ni Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama Bi.Celina Wambura.Picha na Nurdin Ndimbe.

Jamani majaji wanawake wenne tu? Wahuska litupieni macho hilo. Akina mama nawaaminia kwa kua na wago kidogo katika mambo ya ruswa. Wapewe nafasi zaidi katika hiki kitengo.
ReplyDeleteMdau
Amerika Kaskazini
NAFASI ZA UJAJI HAZITOLEWI KWA KUFUATA JINSIA ISIPOKUWA UWEZO WA KUTAFSIRI SHERIA VIVYO HIVYO KWENYE SIASA NDO MAANA HATA MAREKANI INA MAJAJI WACHACHE WANAWAKE PIA MASENETA, WAWAKILI NA MAWAZIRI WACHACHE PAMOJA NA KUWA NI NAMBARI WANI KWA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE
ReplyDeleteNIKIPATA URAIS TANZANIA NITAFUTA VITI MAALUM VYA WANAWAKE NI UPOTEZAJI WA RASRIMALI ZA UMMA KAMA MWANAMKE NI MWANASIASA AENDE JIMBONI KUOMBA KURA MFANO MARY NAGU, MONICA MBEGA, DK BATLDA BURIAN, ANNA MAKINDA, PROFESSA TIBAIJUKA NA WENGINE SI KUPATA USHINDI WA MEZANI WA JINSIA MOJA.
KWA SABABU KUNA MAENEO MENGI YA MWANAMKE KULETEA TAIFA MAENDELEO SI LAZIMA AWE JAJI AU MBUNGE