Kikundi cha utamaduni cha Lindi, mkoani Mtwara, kikitumbuiza katika uwanja wa Ilulu, Lindi

Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. HAo CCM wangewapatia ngoma hata za maana. how foolish are we Africans hata mkoloni alikuwa anatunyanyasa na bado ulikuwa tunawachezea ngoma .

    ReplyDelete
  2. come on stop hating.ungetoa hoja gani kama ungekuja gundua kuwa CCM waliwanunulia ngoma wananch hao? S ungesema wamehongwa ngoma?

    ReplyDelete
  3. Adopted Makonde.October 23, 2010

    Brings back memories.Back in late 80s and early 90s Mikocheni gezaulole, mkunguni.Those were days when Makondes used to run Mikocheni,Msasani,Kawe not todays.I'really miss my neighbors. Auuu leka uu.

    ReplyDelete
  4. hizo drums ni nzuri, lakini huyu mchezaji alivyo vaa hicho kiji skirt inatia hasira kumwangalia. mbona hiyo part yake akupewa mwanamke. jamani watu waige ngoma za wachagga. wachagga ngoma zao ni za kiistarabu sana.

    ReplyDelete
  5. Msikilize Dr. Slaa Ph.D akiongea ktk mdahalo uliorushwa na kituo cha ITV siku ya jumamosi tarehe 23/10/2010 ktk mfumo wa audio kupitia linki: http://www.chirbit.com/mambo

    ReplyDelete
  6. "Kikundi cha Utamaduni cha Lindi Mkoa wa Mtwara" Tafadhali sahihisha, "Kikundi cha Utamaduni cha Lindi Mkoa wa Lindi". Lindi na Mtwara ni mikoa 2 tofauti ingawa iko jirani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...