Hayati ANTHONY ATHANAS MIHIGO
11 APRIL 1975 -02 OCTOBER 2010

Kwa heshima na taadhima tunaomba kutumia nafasi hii kutoa taarifa ya mipango ya mazishi ya Anthony Athanas Mihigo aliyejulikana zaidi kama TONNY na wengine walimfahamu kama TONNY DRAFT, kaka wa Adolf Athanas Mihigo kilichotokea kwa ajali ya gari usiku wa Ijumaa (01/10/2010) kuamkia siku ya jumamosi huko nchini INDIA katika mji wa HYDERABARD alikokuwa akifanya shughuli zake za biashara kwa muda wa miezi miwili iliyopita.

Mwili wa maremu unategemewa kufika hapa Dar es salaam leo jioni (07/10/2010) kwa ndege ya shirika la ndege la EMIRATES ukitokea Hyderabard nchini India. Mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya ijumaa Katika makaburi ya Kinondoni, Dar.

Baada ya kutoa heshima za mwisho nyumbani kwa baba yake eneo la Sinza jirani na kituo cha mafuta cha GBP. Baada ya hapo kutakuwa na Misa ya mazishi katika kanisa Katoliki, Sinza, Dar.

Kwa mawasilaino na ndugu pamoja na jamaa kupata
“updates” unaweza kuwasiliana na :-

Adolf Mihigo 0713-767680
Tonny Kingunge 0713-552994
Salum Mpugusi 0655-281081

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
-AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...