FEW DAYS LEFT FOR BEFFTA AWARDS 2010:

THE SPORAH SHOW IS UP AGAINT SOME STIFF COMPETITION SO ITS UP TO YOU TO HELP US WIN !PLEASE VOTE FOR SPORAH SHOW BY TEXTING ON 80010..

THE BEST TV SHOW: 341
THE BEST TV PERSONALITY: 353
THE BEST TV PRESENTER: 359

http://www.beffta.com/news/

BEFFTA AWARDS 2010:
ON 30TH OCTOBER 2010 AT CENTRAL HALL WESTMINISTER.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Ongeza mlo kidogo mtoto, maana naona anorexia inakunyemelea.

    vote yangu umepata.

    ReplyDelete
  2. Woow, well done Sporah, We Love you.
    Sasa tunavotije huku USA???

    ReplyDelete
  3. Mwendo wa Farasi Sporah, usirudi nyuma mwanangu.

    ReplyDelete
  4. HONGERA SANA DADA SPORAH, YOU DESERVE IT.

    ReplyDelete
  5. Spola dada angu, naipenda sana sana show yako, ila kwetu ni mimi tu ndio ninaelewa kiingereza, na Mama angu na Bibi angu wanaipenda saaaaaaaaaaaana show yako lakini LUGHA HAIPANDI, wanakaa kukusifia nywele hereni viatu lakini hawaelewi sanyingine najisikia vibaya, au najikuta naanza kuwatafsiria moja baada yalingine, mi naomba labda mlifikirie hili jambo, either kuweka sub tittle au Star Tv waangalie jinsi yakutafsiri maana ukweli ni kwamba Show yako ni nzuri na inaelimisha jamii yetu ya watanzania sana na itawafungua watu wengi macho, Ila Lugha inatuangusha dada.
    Au basi tu rudi nyumbani ufanyie haya mambo huku nyumbani ili wadogo zako na kina dada zako na kima mama zako na bibi zako wafaidike na knowledge yako.
    Yangu ndio hayo tu. Otherwise all the best Dada.

    ReplyDelete
  6. Jamani hebu mwambieni huyu binti kuwa kuna kitu kinaitwa chakula na ale atie angalau minofu na kuziba mifupa hiyo!!! Nani anataka kuangalia skeletoni!

    ReplyDelete
  7. mmh,jamani hizi diet mmmh,mwanamke nyama babu{nataka paja leo,hakinitoshi kipapatio}

    ReplyDelete
  8. Sporah mamii keep up the hard work, kwakweli unajitahidi. Na Asante kwakutuwakilisha. Kura yangu Na familia yangu wote ushazipata. Mungu akusaidie unyakue award zoote Tatu.

    ReplyDelete
  9. Jamani Sporah umependeza sana saaana my dear, nywele, gauni, hereni, saa, OMG.
    LOOVE YOUR STYLE.

    ReplyDelete
  10. Hi Sporah,

    I think you are a really amazing and beautiful woman and a role model for us young girls. I wish you good luck with your show and your life.
    Remain blessed.

    ReplyDelete
  11. Hi Sporah,

    I think you are a really amazing and beautiful woman and a role model for us young girls. I wish you good luck with your show and your life.
    Remain blessed.

    ReplyDelete
  12. Hop u gonna win coz yo show is rocking n' I'll vote 4 u.

    ReplyDelete
  13. ebu nyie acheni ushamba, huyu Sporah ancomplit na International TV show sasa unene wanini huku ulaya?
    Ila yes kapaja muhim lakini mbona Sporah anakapaja jamani na kahips kakishkaji, na nyuma pia analipa mtoto wa watu, Kwa kweli kwa Figa anayo na kipaji anacho.
    Na wewe unaetaka kipapatio hujui watu wanazitafuta hizi figure? nakupoteza alot of money kwenye ma Gin usiku na mchana? Narudia tena Muacheni mtoto wawatu hana UBETINA WALA UZENA, Ni KIAVERAGE.
    na anawakilisha positively international thats the most important thing to us Tanzania.

    ReplyDelete
  14. Acheni malumbano jamani, ni wangapi wamefanya anayoyafanya huyu binti hasa hizi nchi za ulaya? Huyu dada anawachallenge watu wa Internationa hapa London, angalieni kwanza English sio our firs language lakini ameweza ku bridge the gap, na umri wake pia, ni kina dada wangapi wanafanya mambo anayoyafanya huyu binti, hepu tujaribuni kuappreciate vya kwetu na kusupport pale panapoonekana panatakiwa kusupportiwa.
    Sporah You deserve it sister. Hard work and results are what you are...all my votes to you.
    Mdau Reading

    ReplyDelete
  15. Sporah, don't listen to some of these fat a... Most of them are lazy because they are overweight. You are in a great shape, keep doing what you are doing baby. I am going to vote for you honey.

    I love you!

    ReplyDelete
  16. Kweli ningekua na fimbo ningewachapa nyienaopenda malumbano ya kipimbavu, sasa unene, wembamba vinatoka wapi???
    Hapa tunachotakiwa nikumsupport huyu dada a win, anaiwakilisha Tanzania in a very positive way! Sasa hayo mengine yanatoka wapi? Mnamkosea adabu mwenzenu mambo ya kipaya vihips!! Ebu acheni ujinga wajomba. Tanzanians we need to learn to support each other that's the only way out.
    Hongera dada kwa kazi ngumu unayoifanya, kura yangu na marafiki zangu na familia yangu unazo.
    Geofrey

    ReplyDelete
  17. ebu nyie acheni ushamba, huyu Sporah ancomplit na International TV show sasa unene wanini huku ulaya?
    Ila yes kapaja muhim lakini mbona Sporah anakapaja jamani na kahips kakishkaji, na nyuma pia analipa mtoto wa watu, Kwa kweli kwa Figa anayo na kipaji anacho.
    Na wewe unaetaka kipapatio hujui watu wanazitafuta hizi figure? nakupoteza alot of money kwenye ma Gin usiku na mchana? Narudia tena Muacheni mtoto wawatu hana UBETINA WALA UZENA, Ni KIAVERAGE.
    na anawakilisha positively international thats the most important thing to us Tanzania.

    hii lugha gani?au ndio wanaita kiswanglish?

    ReplyDelete
  18. All the best dada, utashinda tu Mungu yuko na wewe.

    ReplyDelete
  19. Spora your my inspiration lady of all the time, keep it up Dada angu. We love youuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  20. Ukweli uko palepale,
    1. Ni wangapi wangetamani kufanya mambo anayoyafanya Sporah?
    2.Ni mtanzania gani amewahi kushindania Awards 3 kwa pamoja katika nchi za ugenini?
    3. Ni wangapi wamejaribu kufanya mambo kama haya anayoyafanya Sporah na yamewashinda?
    4. Ni waTanzania wangapi walio-establish business zao nchi za ugenini wakafanikiwa kuespand nyumbani na kusaidia Jamii yetu ya watanzania walioko nyumbani?
    5. Je katika umri alionao huyu binti ni mabinti wangapi wanaweza kuwa na nguvu yakusimama nchi za kigeni na kufika hapa alipofika huyu binti na umri wake?
    THE LIST GOES ON AND ON..
    Ebu acheni mambo ya Ubetina Uzena, na tumpe sifa zake, kama hao wanaotoa awards wamemchagua tena awards 3, Mashalah!
    GOD BLESS YOU SPORAH AND Usisikilize maneno ya wakosaji.
    Kura yangu unayo mama.

    ReplyDelete
  21. Spora achana nao woooote unaowaona wanakuzibia njia, Umefikia kipindi ambacho itakua ngumu watu wako wakaribu kukupenda maana wanaona Mungu ameshaanza kuivisha matunda yako, bila kujua kwamba Ni jasho lako! hivo jaribu sana sana kuwaepuka wale unaowaona wanataka kushindana na wewe kwa njia moja au nyingine trust me you dont need them. Endelea na mwendo huo huo, hapa bongo show yako iko juu, na hao wazungu wamekukubali kuweka kwenye awards 2010 what alse do you need mdogo wangu? Achana na maneno ya watu, SIZITAKI MBICHI HIZI, achana nao
    Hard work pays and remember kushinda kwako ni furaha yetu sisi watanzania tunaopenda maendeleo ya Mtanzania . Mungu akuzidishie.
    Dada Ashura

    ReplyDelete
  22. sasa jamani hata kama tuna honest comment tunyamaze? tuna nia njema na hapa tunatoa ushauri tu na hatuna njia nyingine ya kumfikia kirahisi. yeye ni mwafrika, mmatumbi 2b specific, sasa atuwakilishe kiutamu bwana. sisi hatuna culture ya kuchonga miili kama milingoti haitii ladha na hamu mwaya, usinenepe sana lakini tia kidogo naksi ya vinyama. utanoga zaidi. kuhusu kazi yako, tunakukubali n keep it up!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...