Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakati Rais huyo alipofungua Mkutano wa Kimataifa wa Kujadili Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo ya Millenia kwenye Serikali za Mitaa uliofanyika kwenye hoteli ya Serena Mjini Kampala leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Rais Yoweri Museveni wa Uganda baada ya Rais huyo kufungua Mkutano wa Kimataifa wa kujadili Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo ya Millenia kupitia Serrikali za Mitaa kwenye Hoteli ya Serena Kampala leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizunguza na Mwenyekiti wa Shirikisho la Mamlaka za Serikali za Mitaa la Kenya (Local Government Authorities of Kenya), Bw. Tarayia Ole Kores katika Mkutano wa kimataifa wa Kujadili utekelezaji wa malengo ya Maendeleo ya Millenia kupitia Seriklai za Mitaa, Ulipofunguliwa na Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwenye Hoteli ya Serena Kampala leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...