Home
Unlabelled
Waziri Mkuu akutana na watanzania wainshio nchini uganda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo kanga yenye picha sura ya Mwalimu inaonyesha jinsi mlivyompenda.
ReplyDeletekuna Dada mmoja hapo kafurahi kupita kiasi naona aliota usiku ukutano wake na waziri mkuu
ReplyDeleteCheka basi angalau kidogo Pinda, watu wanakuchekea we umenuna,utajizeesha mapema,we subili.
ReplyDelete'Vipi? Mambo Freshi?
ReplyDeleteWanafunzi wa ki-tanzania Uganda nilitegemea watauliza maswali ya msingi na sio ya bandari ya Bagamoyo. Hata ikiwa swali linahusu banadari, basi wangelipaswa kuhoji kwanini serikali iingie kwenye mpango wa kujenga bandari nyingine badala wakati zilizopo hazifanyi kazi kwa kiwango kinachotakiwa?
ReplyDeletePia, licha ya watanzania 600,000 (nina wasiwasi na takwimu hii, nadhani ni 60,000) kwa nini hakuna benki ya Tanzania yenye matawi Uganda wakati wateja tayari wapo hasa wazazi wanaotuma ada kwa wanafunzi.
Pia, je Pinda anafahamu kuwa Shilingi ya kitanzania haipokelewa na vyombo vya fedha vya Uganda?