Home
Unlabelled
ankal na wadau katika utalii wa ndani mbuga ya serengeti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo ni Ndabaka Gate nimepata bahati sana ya kupita njia hiyo kikazi lakini ndani yake ninapata uhondo wa kutalii ukipita katikati ya mwezi wa saba unakutana na Great Migration inavutia sana.
ReplyDeleteTwiga wako wawili mtu wangu. mmoja anaonekana mwili mzima, mwingine anaonekana kichwa tu ila kiwiliwili kimefichwa/kingwa na kichaka
ReplyDeleteankal pole na kampeni za CCM. Ilikuwa ni lazima wakupe mapumziko baada ya hekaheka za uchaguzi umewafanyia kazi nzito maana hii blog yako ikuwa kama ya chama tawala
ReplyDeleteSababu kubwa ya kuwa watanzania hatutembelei sehemu kama hizi ni kuwa hatuzijui zilipo na hata tukijua kama zilipo tunadhani ni ghali na ni kwa ajili ya watalii kutoka nje ya nchi.
ReplyDeleteWizara ya utalii haina matangazo yeyote ya kupromote wananchi kutembelea sehemu kama hizi.
watanzania hawatembelei mbuga za wanyama kwa sababu hawana utamaduni wa kutembea na kuona vitu mbalimbali, utakuta mtu yuko dar es salaam miaka 10 au zaidi, unamuuliza unajua eneo fulani anakwambia hajui aende hukoakatafute nini? kila mwaka wizara ya utalii wanaanda safari za utalii wa ndani, waulize watu wenye hela zao Tanzania katembelea wapi hana majibu zaidi ya kukwambia billicans , rose garden , break point nk, siamini kuwa kipato ni kikwazo, si kweli kupanga ni kuchagua
ReplyDeleteNashindwa kuelewa kwa nini watu wengine wanamsakama Michuzi kwa kuwa upande mmoja, kama huyo Anon wa Tue Nov 09, 09:12:00 am?
ReplyDeleteJAMANI, uandishi wa habari (mainstream journalism) ni tofauti na ule wa blogu!
Uandishi wa habari (mainstream journalism) ni objective); una produsa na edita!
Blogging (mtoaji na mchangiaji) ni subjective!
Wasomi/wasilikilizaji/watazamaji wa habari wanahitaji hicho kitu kiitwacho “objectivity”. Lakini wachangiaji/wasomi/wasilikilizaji/watazamaji wa blogu hawana haja ya majambo kama hayo.
Ukipata nafasi, kuhusu blogu, rejea: http://www.guardian.co.uk/media/greenslade/2010/sep/20/blogging-new-york-times
Na kuhusu “mainstream journalism”, rejea: http://www.bbc.co.uk/blogs/theeditors/2010/09/impartiality_is_in_our_genes.html
Umbumbumbu wetu usitupotoshe kiasi cha kutujengea uhasama kati yetu!
Hizo picha kuna mahali unaziuza? mimi nataka kununua....stock photos...post back nijue
ReplyDeleteMichuzi hicho kimeo ulichoshika mkononi hakiendani na wewe kabisa.
ReplyDeleteMpatie shemeji yetu
Nakuunga kauli Bwana Michu......utalii wa ndani ni wa Muhimu hayo maeneo sio ya watu kutoka mbali hata sie wenyewe tunapaswa kutafuta muda wa kupumzika na kufurahia humuhumu kwetu.......Mtanzania kuingia 1,500 watu wakijipanga kwa kikundi kama hicho chenu wala hawatashindwa angalau siku mbili tu mbugani.
ReplyDeleteWatanzania tupende vyetu kwa kuvithamini ndipo tutajua thamani ya kuviachia kwa wageni.
Narudia tena...nakuunga kauli Bwana Misupu....Utalii wa ndani ya nchi yetu ni muhimu kuongeza ufahamu wa vitu vyetu wenyewe kwanza!!