Home
Unlabelled
diamond apagawisha london
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sijui kama ni masikio yangu tu ; wimbo wa kwanza naona kama alikuwa anaimba off key!
ReplyDeleteHuu ni ushauri wa bure kwa wasanii wa kitanzania.Jifunzeni au tumieni vyombo ya muziki wakati wa kuimba,play back ya CD daima itaendelea kuwaburudisha jamii ya WaTanzania mkija huku.Lakini kupata masoko ya kimataifa kwa mtindo huu ni ngumu.Mkipata fedha nendeni mkasome kozi za muziki chuo kama cha Bagamoyo.
ReplyDeleteJiwekeeni akiba na mnunue vyombo vya muziki au mkodi vyombo vya muziki wakati wa kuperform ili mpate uzoefu zaidi.KIsiwa kama Jamaica muziki wa Ragga/Dancehall mmoja ya mafanikio ni wameweza kuperform live na ala ya muziki wakiwa majukwaani.
hongera sana mdogo wangu for the effort,....not perfect but its somthing...but nyie ndugu mlioandaa mbona mnampeleka kununua shati ambalo huku watu wameyavaa mpaka wanayakwepa..yaani i bought that shirt kutoka new look (on sale by the way)nikaivaaa siku moja tu nikaona imekua jezi ipo ndani nasubiri kuivaa nikienda bongo...but for u guys kumuacha superstar wetu ndio aivae kwenye shoo its not right kabisa...incase hamuamini ingia london anyday of the week u'l almost definitely meet a few guys in it..i mean nothn wrong with it only not gud for a guy on stage....word
ReplyDeletekwetu mbagala hapa nyumba mbele jalala
ReplyDeletemdau namba moja ile haikuwa off key tu ilikuwa ni horrible.... mwimbo ni mzuri haswa ila maspika yamemshinda almasi lakini anaonyeshas kuinjoy kazi yake.
ReplyDeleteHivi lady jide kashakuja UK kututumbuiza?
nyinyi wakazi wa UK mmechakaa kama mpo kusini mwa Sudan. Mdau unazungumzia shirt aliyovaa msanii kwani huyo msanii ametoka wapi? who cares? Jiangalieni nyie mliokuwa ukumbini mmechoka, I can't wait to see Diamond in DC, mtaona matusi yetu,
ReplyDeleteWewe Mdau wa DC,mimi nakubali wewe unanguo,na sisi hapa Uk tunaonekana wachaf chaf,sasa kama unaweza njoo Bongo December na nguo zako,halafu tukutane kiwanja chochote,tufungue walet tufanye makamuzi kama haukimbii,miaka yote nyie wadau wa USA mkija home nanguo zeni,mnapendeza,lakini viwanjani mnakimbia vita na mtu wa pound mnashindwa na nguo zenu nzuri,sasa hapo nani zaidi?acha kuchonga wewe kwanza hapo penyewe una miaka miwili tu,na ndio maana bado unazungumzia nguo,acha ujinga wewe.
ReplyDeleteWEWE MDAU WA UK ACHA UJINGA WEWE MTISHE HUYO MDAU WA DC LAKINI USISEME NYINYI WADAU WA US NA VIJIPOUND VYAKO VYA KULALA KWENYE KIWANDA CHA KUPAKIA KUKU KWENYE MABOX SASA HIYO DECEMBER YAKO UKIFIKA BONGO UKIONA MTU ALOTOKA USA MUULIZE KWANZA AMETOKEA MJI GANI KABLA HUJATAKA HIYO LIGI YAKO AKIKWAMBIA AMETOKEA H TOWN JARIBU KUONDOKA TARATIIBU AU FUNGA MDOMO WAKO NA ANZA KULA KILAJI MAANA USIPIME NA VIPOUND VYAKO H TOWN KUNA NGUVU YA DOLLAS ITAKUFANYA VIBAYA BY THE WAY MIMI NINAENDANDIKA HII MSG NITAKUA MJINI DAR WAKATI HUO.... FROM H TOWN
ReplyDeletemmm! wenye nazo huwa hawatangazi mashindano bali huyafadhili mashindano.
ReplyDeleteKheri sisi tuendeleao kukaa kimya tutokao mbagala nyumba kwenye alala.
Low minded.......!!!
ReplyDeleteunajua ndio maana waswahili kuendelea inakua ni ngumu kidogo...sasa mdau hapo juu amejaribu kutoa constructive critisism watu mnaaza kuja juu..sijui sisi tunavaa sana marekani sijui nini ....eh..wakuu huyo kijana diamond ni mgeni hapo London so kama wenyeji wake wakichemsha kwenye kumuonyesha vizuri mambo yanavyoenda wakiambiwa ni vyema wasikie next time wasirudie...in short hilo shati hata mi ninalo...niliyakuta on sale nilipokua on holiday hapo London..anyway hilo sio muhimu...the point is hao waandaaji wajue issues kama hizo huko mamtoni watu huwa hawakai kimya wana notice an they speak out...zaidi ya hayo kijana wetu unajitahidi sana na miziki yako mi ni mteja wako mkubwa mno na hivi sasa naelekea dukani kununua CD yenye nyimbo zako..
ReplyDeleteWE WOULD LOVE TO HAVE DIAMOND IN CANADA.NYIE MNAOSHINDANA THERE IS SOME WRONG IN U A MIND.TUWAPENDE WASANII WETU JAMANI THEY ARE TRYING THEIR BEST.AM BIG FUN OF U A SONGS KEEP IT UP
ReplyDeleteMDAU CANADA
WA BONGO WANAAKILI KAMA ZA KUKU KAZI YENU KUANGALIA MTU KAVAA NINI KWANI MUSIANGALIE VILE WAZAZI WENU WANALALA NA KIBATARI BONGO LOH NYIE MNAKAZI YA KUVAA DESINER
ReplyDeletenilidhani beef la waishio usa na waishio uk lilishakwisha kama la ccm na cuf (zenji) kumbe bado lipo.Haki ya nani tutachomana visu viwanja.Muda si mrefu tutasikia beef la waishio canada na waishio ufaransa nk.
ReplyDeletewe ulie weka comment hapo juu ndio pimbi kweli...kaa kidogo ukitazama entertainment news utajua umuhimu wa mwanamziki kuangalia anachavaa especially akiwa jukwaani...au ulilala for the past few decades ndio umeamka...wabongo mkubari kukosolewa its not big deal....everybody wrongs at times so ukikosolewa jus get it right...and drop the case!
ReplyDeleteKweli nimeamini wewe mdau wa USA(H TOWN)huna unalojua,unataka kuniambia USD ya hapo H Town inanguvu kuliko ya DC?,na kwasababu hiyo,inanguvu sasa kushinda pound!!!,Ahahahahaaa!!!,kweli wadau wa H Town mpo juu, nanikiwakuteni kiwanja chochote bongo, nitafunga mdomo kama ni hivyo,halafu sikujua kama kumbe wadau wa DC tu ndio wapiga Box, lakini H Town nyie mnapiga ofisi,poa sana mdau,tutakutana December kwa bi mkubwa, usikimbie.
ReplyDeletejamani nilikuwa nafanya makosa kutokuingia na kusoma hizi comment. unajua nimecheka mpaka machozi yakatoka sasa mimi niko mbagala naona tu jinsi UK na US wanavyopambana kweli mnachekesha na sisi wa mbagala tutaringishia nini. Ngoja nirudi kazini
ReplyDeleteWabongo tutabadilika lini???? hata kukaa kwenu USA na UK, bado akili zenu ni ndogo hivyo??? Sasa hebu niambie hao jamaa hapo juu wanaobishana maswala ya shati na kuonyeshana pesa december kunakutu kweli? Vichwa kama vikubwa akili ndogo ujinga wingi. Mdau Finland!!
ReplyDeleteFERSH SANAAA.
ReplyDelete