Diamond akikamua usiku wa kuamkia leo jijini London Fyah Sister alikuwepo kumpa taff Diamond
Mkurugenzi w TZ-One Ali Muhidin akiwa na Diamond
Diamond na wadau






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani hayo mawani ni lazima.

    Wengine hayawapendezi samahanini sana.

    ReplyDelete
  2. ila kweli wadau wa uk mmechoka sana kaa!simrudi makwenu

    ReplyDelete
  3. NYie wagonjwa wa akili nini, hii ni sehemu ya kuto maoni, sasa hayo madongo yanatokea wapi nahasa unamaana gani wabongo wamechoka nikitugani unajaribu kusema naomba unifafanulie nielewe

    MDAU ONE

    ReplyDelete
  4. sasa kijana uje ufanye tamasha mbagala maana imekutoa ila umetuponda sisi hatuishi na majalala bwana njoo uone kijichi ya leo au twangoma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...