Digital Camera inauzwa bei poa ya USD $ 200
Model: Canon powershot A1100 IS

Description:
--12.1-megapixel CCD captures enough detail for photo-quality poster-size prints
--4x optical zoom and Optical Image Stabilizer; 2.5-inch LCD screen
--DIGIC 4 Image Processor with evolved Face Detection Technology; Face Detection Self-timer
--Uses 2 AA-size batteries
--Compatible with SD/SDHC, MMC/MMC Plus/HC MMC Plus (1GB SD card included)

Kwa anayehitaji Piga simu Namba
+255 652 209 380

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. reason for sale?

    ReplyDelete
  2. mi naitaka nimchukulie mdogo wangu lakini sniko mbali sina hela ya kupiga simu kuulizia mambo mengi sema ni brand new au refurbished? Nikipiga simu najua maongezi yatakua mafupi...

    ReplyDelete
  3. tatizo watu ufaham wetu ni mdogo. we unataka kumuuzia mtanzania au watu wa nje ya tz. tumia lugha moja ili ujumbe ufike kama ulivyokususdiwa. juu ya tangazo lako umeweka maelezo ya kiingereza alaf chini kiswahili. inakuwaje kwa mtu anayejua lugha moja. think twice nami nimechanganya mwishowe. ila dio hivyo

    ReplyDelete
  4. tuwekee kwa pesa za kitanzania. Hizi habari za USD unataka kutuibia wewe. Au kama vipi kaiuze marekani. biac*.

    ReplyDelete
  5. HEHEHEHHEHE"""DOLA 200???ACHENI WIZI...HIYO CAMERA NI KRONER 200...SAWA NA ELFU 45000.....TZ SHILINGS......

    ReplyDelete
  6. Same everything brand new for $100....Holla at me!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...