Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwa katika Ofisi yake Ikulu Dar es salaam leo ikiwa ni siku ya kwanza tangu kuapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakati alipotembelea katika Ofisi hiyo iliyopo katika mtaa wa Luthuli jijini Dar es salaam leo ambapo ni siku ya kwanza tangu kuapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Shikamoo Dokta na Hongera kukalia kiti cha umakamu...Unikumbuke katika ufalme wako Dokta..mimi bado niponipo tu kama mhasibu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...