Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Jaji Omar Othman Makungu,Ikulu Mjini Zanzibar leo.Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Abdulhamid Yahya Mzee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimkabidhi hati ya kiapo Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Jaji Omar Othman Makungu,mara baada ya kumuapisha,katika hafla iliyofanyika leo,Ikulu Mjini Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Haki ya nani tena nitafanya kazi kwa uadilifu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...