Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali. Kushoto kwake ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho, Makamo wa Pili wa Rais wa ZANZIBAR Balozi Seif Ali Iddi na kuume kwake ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Mh. Hamid Mahmoud na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Seif Shariff Hamad. Hapo wapo nje ya ukumbi wa BARAZA LA WAWAKILISHI baada ya kulizindua leo. Picha na mdau Ramadhania Othman wa Ikulu Zanzibar
Home
Unlabelled
Dk. Shein alipozindua baraza la wawakilishi zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...