kijiji cha Ukala penye kivuko kinachohudumia maeneo hayo na Nansio na Ukerewe
Kivuko cha kampuni binfasi cha 'Orion' bado kinadunda kutoka Kamanga, Mwanza

Hapana, hapa si Kigamboni, jijini Dar. Bali ni 'MV Misungwi' ambacho ni kivuko kipya cha serikali cha Busisi jijini Mwanza, kikitokea mjini kupeleka wananchi maeneo ya Sengerema, Geita na kwingineko. Kivuko hiki kina uwezo wa kubeba mizigo yenye uzito wa tani 250 na ni kivuko kikubwa kuliko vyote katika Ziwa Victoria. Kina upana wa mita nne na urefu wa mita 58 na kinabeba abiria 1,000 na magari madogo 36 na maroli makubwa 14.
Kwa habari zaidi ya vivuko sehemu mbalimbali. BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Lakini hii imeandikwa MV Sengerema, inafanana sana na MV Misungwi, na pia zote zinafanana na MV Kigamboni. Umenikumbusha home, naziona basi za Lushanga!

    ReplyDelete
  2. Hicho kivuko kinaitwa MV Sengerema na Hapo ni Busisi Mv Misungwi ni kipana sana tofauti na hicho asante kwa kazi nzuri ya kuonyesha serikali inavofanya kazi by Jackson Msangula IO Miundombinu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...