Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe Sophia Simba akisalimiana na Watumishi wa wizara hiyo wakati yeey na Naibu Waziri Mhe.Ummy Ali Mwalimu waliporipoti kazini leo.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe Sophia Simba akisalimiana na Watumishi wa wizara hiyo wakati yeey na Naibu Waziri Mhe.Ummy Ali Mwalimu waliporipoti kazini leo. 

Yakhee kumbe bara ushungi wawekwa kando ati!!!
ReplyDeleteHongereni Mawaziri wetu na jiandaeni kwa SEMINA ELEKEZI itakayofanyika wakati wowote kwenye wiki ya pili ya Dec, 2010.
ReplyDeletesamahani Mheshimiwa Sohia Simba hana PA (Personal Assistant) wakumbebea pochi au wa kuiweka pembeni? maana naona ipo mezani hapo......
ReplyDeleteyani mheshimiwa simba hazeeki, toka nimwone mara ya mwisho kama miaka 11 iliyopita bado yuko vile vile... hongera sana kwa kupata nafasi ya uwaziri.
ReplyDeleteSofia Simba ni jimama la nguvu duh! wallahi ni mzuri
ReplyDelete