Home
Unlabelled
MAPEDEJEE ORIJINO TOKA CONGO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nilichoona hapo ni kutangaza vitu vya mkoloni tu, ningewaheshimu kama mavazi na mikogo ni orijinal ya kikongo.. lakini hapo ni utumwa tu wa kifaransa.
ReplyDeleteMaskini hata hawajitambui! Wanahitaji msaada wa haraka. Maana ulimbukeni unaoonyeshwa hapa huwezi amini ni watu wazima lakini hovyo. Ibada za pombe tumbako na mavazi ndicho chanzo kikuu cha maagamizi ya taifa hili tajiri duniani kwa raslimali lakini maskini wa kunuka wa watu.
ReplyDeletewaache waendelee kuvaa hiyo mitumba na kuishi maisha ya kusadikika huku wakicheza ndombolo,nchi yao wameisahau mpaka jirani zao wanyarwanda wanawasaidia kuongoza na kuchota vilevile.
ReplyDeleteSafi sana Michuzi kwa lumba ya nguvu. Watu wako happy kivyao vyao na life goes on. Viva la congolese musicale
ReplyDeleteNakumbuka kambi za wakimbizi kule Kigoma: hawa wanafanana na wale wa Lugufu refugee camp, nasikia sasa wamehamia nyarugusu camp. Ni balaaa! wanajua kujipamba tu!
ReplyDeleteasante sana michuzi kwa hii kiburudisho. wakongo wamekuwa na leaders wabaya lakini ni very classy japokuwa ni maskini. hao sepo kwenye hii vidio nina watolea kofia. huo musiki ni mzuri sana. hii inaonesha kwamba hata kama you are poor you can still enyoy yourself.
ReplyDeleteHivi nyinyi mna habari kwamba hawa jamaa ni wanamuziki? Their main purpose is to entertain. To entertain damn it! Not to make social or political commentary. Sasa hivi comments zenu zenye political slant zinarelevance gani hapa? Watu wengine bwana. Chukuwa dakika mbili za kutafakari kabla ya kuropoka.
ReplyDeleteha ha haaaaaa! hawa ndio wazee wa pamba wa congo? teh teh
ReplyDelete