Mkuu wa Mkoa wa Morogoro , Issa Machibya ( wanne kushoto waliokaa) akifuatiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Hussein Katanga , wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wakuu wa Wizara hiyo.na watatu kutoka kushotyo ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Stephen Bushiri, picha hii imepigwa mara baada ya Mkuu wa Mkoa kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa sekta ya maendeleo ya jamii kwenye ukumbi wa Hoteli ya Mount Ulunguru , mkoani Morogoro leo.Picha na John Nditi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ndugu Stephan Bushiri hongera sana kwa shughuli zako za ujenzi wa taifa huko nyumbani tz.nakumbuka tulisoma pamoja kule songea boys high school "box two"miaka ya 80,hapa unaonekana katika safu ya viongozi mkoani moro.we are proud of you !! keep it up man.
    abbu omar,tokyo,japan.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...