KATIBU WA TAWI LA CCM MOSCOW ANAPENDA KUKUALIKA WEWE NA FAMILIA YAKO KATIKA SHEREHE KUBWA YA KUMPONGEZA MWENYEKITI WA CCM NA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA USHINDI MKUBWA ALIOUPATA KATIKA UCHAGUZI ULIOFANYIKA MWISHONI MWA NOVEMBA MWAKA HUU.

SHEREHE HIYO ITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 27/11/2010 KUANZIA SAA 17:00 HADI MAJOGOO.

MAHALI:

33 PYATNITSKAYA ULITSA,
119017,
MOSCOW.
RUSSIA

WOTE MNAKARIBISHWA
GOD BLESS CCM, GOD BLESS TANZANIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Yani ninyi mpo ughaibuni lakini bado mna fikra mgando. tafuteni pesa wacheni mawazo ya kujipendekeza, kama mnataka vyama njooni huku mje kuwa makatibu wa chama ngazi za mashina, kata na wilaya.

    ReplyDelete
  2. Michuzi wacha kubania watu comments zao. Mimi nilikuomba jana unipostie comment kwamba sisi CHADEMA pia tuna sherehe siku hiyo ya kumpongeza Dr Slaa kwa ushindi mnono in the absence of kuchakachua. Sasa mimi ninachotaka ni kupata namba ya katibu wa CCM Mosco ili tupange maana wageni ni almost the same (Watanzania)

    ReplyDelete
  3. masahihisho kwa tangazo la moscow uchaguzi umefanyika mwishoni mwa october na sio november je sasa huu ni mwezi gani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...