Mama Salma Kikwete akipeana mikono na Mama Mashughuli, mmoja wa waalikwa katika mnuso wa kumpongeza JK kwa ushindi wake usiku wa kuamkia leo Ikulu jijini Dar. Kwa picha zaidi mtembelee Mama Shughuli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. KWASISI WATOTO WA MCHAFU KOGE(BORN HERE HERE)TUMESOMEA JAMIATULI,TUMEKULIA SPLENDED NA KIDONGO CHEKUNDU HIYO LINK YA MASHUGHULI NDIO BLOG MAMA YANI INATUHUSU TUNAOMBA UIWEKE KATIKA LINK YAKO,TULIO MBALI NA NYUMBANI MATOKEO MENGINE HATUKUPATA NDUGU YETU BEST ALIPITA UDIWANI KARIAKO FINALY BIG UP MASHUGHULI.

    ReplyDelete
  2. Anonymous hapo juu ngoja asante sana kwa pongezi kwa mashughuli blog nikusaidie Best hakupita Udiwani ila yeye amebaki kuwa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa kama kawaida.

    ReplyDelete
  3. I hope kuna picha nyingine ya kumbukumbu hiyo hapo iko too awkward. Huyo mama anaangalia mpiga picha wakati first lady anampa mkono..yaani cha muhimu picha au kumweshimu first lady.?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...