Jiji la Mwanza, maarufu kama Rock City, linavyoonekana kwa upande wa majini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. dats mah city mwanza tz

    ReplyDelete
  2. duh, nlifikiri tembo wanakunywa maji!

    ReplyDelete
  3. Mabugando yanazidi kuongezeka1

    ReplyDelete
  4. Huu ndio mji tulioambiwa utakuwa sawa na Amsterdam sio? Wacha bwana ee, basi wasukuma angalieni binti zenu kama ujuavyo amsterdam kuna nini.

    ReplyDelete
  5. Ankal mbona umeamia Mwanza ghafla. Au tayari kampeni za 2015 zimeshaanza?

    ReplyDelete
  6. Mwanza ooh mwanza...mwanza mji mzuri...mwanza nitarudi mwanzaa..mwanza tutakuja tena....tulifika kirumbaa...uliza mabatini...uliza nyamagana...Huyo alikuwa dokta Remmy jamani...hakika Mwanza mji mzuri

    ReplyDelete
  7. I miss my home town Mwanza. That's my beautiful city ever.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...