Mwenyekiti wa Tanzania Mitindo House,Khadija Mwanamboka akizungumza katika hafla ya kusherehekea miaka mitatu ya Tanzania Mitindo House,iliyofanyika leo katika viwanja vya TMH, Kigamboni.
Wadau wa Mitindo,toka shoto ni Gabriel Molel,Fidelin Iranga (gaga),Jamilah Swai na Best Model 2010 Martin Kadinda.
Mwenyekiti wa TMH,Khadija Mwanamboka (kati) akiwa katika mazungumzo na dada Rehema pamoja na Msimamizi wa Bongo Star Search.
Baadhi ya Washiriki wa Bongo Star Search wakiwa katika picha na bango la kituo cha Tanzania Mitindo House,Kigamboni leo.
Mwenyekiti wa TMH,Khadija Mwanamboka (pili kulia) akipokea misaada ya nguo za watoto wanaolelewa na kituo chake kutoka kwa wadau wa hoteli ya Double Tree ambao pia ndio waliofanikisha hafla hii miaka mitatu ya Tanzania Mitindo House,iliyofanyika Kigamboni leo.kwa picha zaidi


We Khadija eti umeolewa?
ReplyDelete