Banda la Tanzania kwenye Food Bazaar linalofanyika kila mwaka huko Geneva, Uswissi, na kuhudhuriwa na nchi mbalimbali zenye balozi zao huko. Misosi ya Tanzania ilikuwa kivutio kikubwa na wengi walivutiwa na mtori, makande na nyama choma
Kinamama waliofanikisha hafla hiyo kwa kupika misosi ya nguvu

Balozi wetu Uswisi Mh. Marten Lumbanga akichagua msosi
Shughuli inaendelea
Mdau Deus Kaganda, ofisa ubalozi huko Geneva,
akisubiri makande anayopakuliwa na mdau Carol Magessa





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Vyakula vyetu vina mafuta sana. Ni mbaya kwa afya zetu. Sasa hivi kuna mlipuko mkubwa wa ugonjwa wa kisukari hapo Dar imetangazwa kuwa ni janga lisipochukuliwa seriously linaweza teketeza Nusu ya Dar. Tuangalie vyakula vyetu na kufanya mazoezi. Watoto wadogo siku hizi wanakufa kwa ugonjwa wa moyo bila sababu.

    ReplyDelete
  2. Naona hao wapishi wamenona, au wamekula wenyewe? Mbona hilo banda la Tanzania hatujasikia Chapati, mbatata za urojo, badia, kachori, n.k. au wazenji hawamo?

    ReplyDelete
  3. kama huna anything constructive usipost... watu wazima wengine ovyo!!!
    kuhusu mafuta ni wewe unavopika..... mimi mapishi yangu hata hivo vya mafuta napunguza kadri ninavyoona itafaa.... vile vile muwe na tabia za kula fruits, salads in all meals... vinginevyo itakuwamagonjwa hayaishi

    gday

    ReplyDelete
  4. Wow.. I missed that...
    I can clearly see u mama, Cathy and dad.... All in good health

    Asta big up.. Jr still mentions u

    much love u all

    ReplyDelete
  5. Du, Nakuona sister Carol; ndo maana sikuoni mitaa ya Sinza kumbe upo Geneva. Nikija mitaa hiyo nitakutafuta. Kaganda, najua baada ya makande ulielekea Tanzanite kufanya yale mambo yetu....

    ReplyDelete
  6. Mbona hatuwaoni waswiss wana onja chakula zetu.

    ReplyDelete
  7. Banda limetia fora halafu mnakula wenyewe, labda wadanganyeni amabao hawajafika nchi za watu

    ReplyDelete
  8. Mdawa wa mwisho umenena, mbona hamna mzungu, ni sisi wenyewe tunakula, kweli wadanganyeni ambao hawajui ulaya.

    ReplyDelete
  9. picha ya 5 na ya 3 ni waswahili?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...