Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kuna ule msemo unaosema kila picha....... Sasa nawauliza ndugu zanguni hivi hiyo picha hapo mnatupa ujumbe gani lakini? hivi kulikuwa na haja ya kuwepo kwa picha kam hiyo katika tangazo lenu? Au mnakusudia na kutegemea kuwa akina dada watakaofika hapo watakuwa na mavazi yafananayo na hayo?

    Kuiga kwingi sio kuzuri.

    ReplyDelete
  2. wewe kibabu nov09 12:22pm nenda ukabishane siasa na wenzako vibabu wenzako, huyo dada ni MTANZANIA KAMA WEWE NA VAZI NI lake..sasasa kaiga nini? KWANZA MCHANGO UMETOA??

    ReplyDelete
  3. wewe unaimuita mwenzako kibabu, inaonyesha una akili ya kitoto kabisa. ni wapi aliposema kama huyu binti sio mtanzania? na kama hilo vazi wewe unaona sawa ni kwa sababu huna akili zako, akili zako pia ni za kuiga iga tu. Vazi gani hilo la kitanzania.

    Tena unaleta zogo la kuchangia,, unaona utoto wako ulivyo? Ni kwa nini achangie? kwanza hata hujui alipo sasa awape pesa za nini? Grow up you plonker

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...