Rais wa timu ya African Lyon,Nabil Nassor (kulia) akiwa ameshikilia mpira pamoja na mshauri wake mkuu,Ahmed Shirazi wakati wa kutambulishwa rasmi kwa rais huyo leo katika hotel ya Sea Cliff,jijini Dar.
Mshauri mkuu wa Rais wa timu ya African Lyon,Ahmed Shirazi (kati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) waliofika leo katika hotel ya Sea Cliff.Kulia ni Rais wa timu hiyo ya African Lyon,Nabil Nassor na kushoto ni Mkurugenzi wa timu ya African Lyon,Rahim Zamunda.
viongozi wakuu wa timu ya Afrikan Lyon wakiwa katika picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...