Kwa wanafunzi wa Tanzania waishio New -Delhi,
wanataarifiwa kuwa kutakuwepo na
Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa viongozi katika nafasi za :
1. Mwenyekiti
2.Makamu wa Mwenyekiti
3..Katibu Mkuu.
4. Mweka Hazina.
5.Kiongozi wa Burudani na Naibu wake.

Uchaguzi unatarajiwa kufanyika Jumamosi November 23,2010.
SAA NANE MCHANA ,
Kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania zilizopo
CHANAKYA PURI, NEW DELHI.

Wale wote wanaotaka kuwania nafasi hizo hapo juu wawasilishe majina yao kwa JANE BALAMA :Phone number 9910767930.

Wanafunzi wote mnaombwa kuhudhuria bila kukosa.
Mwenyekiti
Jennifer Sumi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...