vikapu na nyungo vilivyosukwa kwa ustadi vikuzwa maeneo ya Ruvu, Mkoa wa Pwani. Ni mali nzuri kwa wajasiriamali wenye mtazamo wa kufanya biashara ndani na nje ya nchi ikizingatiwa kwamba soko la hapo barabarani pekee halitoshi na mali ni nzuri na bei poa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hivi vikapu ungos vina bei sana nikuto kujua tu soko la nje...

    ReplyDelete
  2. uliepiga hii picha unatakiwa ununue whole sale halafu utafute soko nje ya nchi. kama biashara ipo kwanini matangazo?

    Nunua kwa wingi uviuze wewe wote tutafaidika ...mnunuzi na hao wafundi

    ReplyDelete
  3. Mbona hujatupa matokeo ya uteuzi wa spika? Nasikia Mh. Anna Makinda amepita ila sijafahamu kwa asilimia ngapi, hiyo itatufahamisha kama kuna CCM waliompigia Marando.

    ReplyDelete
  4. Nzuri ila wanatakiwa kidogo wasiwe karibu na hiyo barabara hatari kwao na Magari yanao pita. MZ

    ReplyDelete
  5. Hizi vikapu inalama za TBS?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...