Home
Unlabelled
viboko taabani kwa ukame huko katavi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tumezidi kukata miti ovyo,ukiuliza eti magogo dili.
ReplyDeleteSijui kwa nini hatupandi miti baada ya kuikata.
ReplyDeleteWapeleke kama magari ya zima moto halafu wawaongezee maji. Simple common sense
ReplyDeleteKwa nini wasiweke Tanker moja trailer refu la maji ikitokea ukame kama huu katika mbuga za wanyama, Tanka linachota maji katika maziwa yalojaa maji na kumwaga shemeu kama hio ya wanyama abayo itakua na ukame ili kuhifadhi wanyama wetu wa Tanzania, mzee Michuzi naomba upost hii comments yangu Live isomeke na watu wooote.
ReplyDeleteKWA KUWA MSONGAMANO UMEKUWA MKUBWA, NA KABLA HAWAJAANZA KUFA, BASI TUWAPUNGUZE KIDOGO WENGINE TUFANYE NYAMA. KAMA SAMAKI WA MAGUFULI.MANA WENGINE HATUJALA NYAMA SIKU NYINGI.
ReplyDeleteSimple-Ecosystem.
ReplyDeleteBTW Uswahilini mnabanana kama hivyo halafu hamsemi.Wapande au wasipande miti maji yatazidi ku-overporate to the sky.
WEWE MBIGILI UPUUZI MTUPU, (SIMPLE ECO SYSTEM?) KAMA UMESOMA NA KAMA UNAELEWA UJUE MITI HIKARIBISHA MVUA, OFCOURSE EVAPORATION IS THERE, IT HAS BEEN THERE, UMEONA KULE CONGO HAO VIBOKO WANAKUFA? THINK GREEN FOOL!! PLANT TREES THERE AND SEE IF THE RAIN WILL NOT BE ATTRACTED, NI KAMA DAR NA MOSHI VILE AU MBEYA NA DODOMA HUJUI KWANINI PENGINE PANA MAJI YA KUTOSHA NA PENGINE PAKAVU, AGHH WATU WENGINE BWANA HUJIDAI WASOMI KUMBE.....
ReplyDeletehiyo ni dalili ya lanina(ukame) kama ilivyotabiriwa na wataalamu wa hali ya hewa nchini, kwa kuzingatia hilo wahusika ilibidi wajipange...
ReplyDeleteTatizo la kupuuzia hilo
Amkeni sasa.