Mkurugenzi wa Kampuni ya Altaf &Company Zulfiqal Ali kulia akimkabidhi Pesa Taslim shilingi 150,000 kwa Kocha wa mchezo wa Ngumi Rajabu Mhamila (Super D)kwa ajili ya kwenda kushiriki mafunzo ya Ukocha yaliyoandaliwa na Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam leo. Katikati ni Mke wa mfadhili Fatuma Zulfiqal na wengine ni wafanyakazi wa Kampuni Hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. hUYU MDOSI ANATAKA KUUZA SURA TU ! PESA GANI ZA KUMTHAMINI MTU HIZO ADI UPIGWE PICHA MAGAZETINI . COME ON PPL!


    MDAU PARIS

    ReplyDelete
  2. UTHAMINI MWINGINE UNATOA KIMIYA KIMIYA TU ! KWANI HII NI MANYANYASO SASA.

    MDAU PARIS

    ReplyDelete
  3. HAYA MASIHARA KWELI LAKIN NA NUSU. PUKURUSHANI ZOTE HIZO.. SI BORA ANGEKAA KIMYA AU NDIO KUUZA UZURI.

    LAKI MOJA KWA MPIGANAJI NGUMI SIO MLO WA SIKU MBILI TATU.

    ReplyDelete
  4. Wabaguzi washaaanza hao.. kwani kwenye blogu siku zote mbona wanatolewa watu wanakabidhi zawadi siku zote hamsemi. Na kama pesa kido basi toa wewe mswahili kama unazo sio unakurupuka ovyo....

    ReplyDelete
  5. We Anony wa kwanza, mbona unambagua huyo mdosi? Mbona Vodacom na NMB wanafanya hivyo kila wiki? Wacha ubaguzi wako.

    ReplyDelete
  6. Anony wa mwanzo kabisa mbona unamsagia kihivyo shemeji yetu anayepromoti bondia, maana juzi juzi timu ya taifa ya mabondia Tanzania walikuwa wanaanguka ktk mazoezi kwa kukosa mlo wakati wa maandalizi ya Commonwealth Games.

    Huyu jamaa atoa msaada kwa vitendo na wengine tuunge mkono na siyo kubeza kwa maneno.

    Mdau
    Mkereketwa

    ReplyDelete
  7. Anon wa mwanzo, una ubaguzi wa hali ya juu... kama kwamba unasubiri sababu tu upate kusema lako moyoni. Hebu jaribu kutoa wewe kama unazo sio unakandia watu. Hata kama ni pesa kidogo lakini si katoa? na pia zimepokelewa? mbona hawakuja wengine kufanya hivo basi? MBAGUZI WEEEEEE

    ReplyDelete
  8. wewe limbukeni wa anon wa mwanzo ingikuwa wewe hizo hela ungeenda kutafuta ukimwi mwenzio anatoa.ili wengine tuige unaingilia kati pumbaf wee....wewe unatoa nini beba mavi huko ati paris nani kakuuuliza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...