auntie shamim zeze wa 8020fashions.blogspot.com akijidai baada ya kula nondozzzz. Globu ya Jamii inampongeza si kwa nondozzzz tu bali pia kwa kuwa mwanadada anayeendeleza libeneke kwa nguvu zote. Hongera Shamim!

picha zaidi mtembelee shamim zeze

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Kwa mara nyingine HONGERA ZEZE!

    ReplyDelete
  2. Hongera dada,Mbona mkono wa kushoto umeuficha?Kuna kitu nilitaka kukiangalia kwenye vidole vyako vya mkono wako wa kushoto ili ni.....

    ReplyDelete
  3. duh! hongera.
    Basi peleka tangazo ITV kusimplify tangazo

    ReplyDelete
  4. Mzee Wa Zeze, TangaDecember 04, 2010

    Hongera Mwanakwetu Shamim,
    Mguu wako wa bia unavutia sana, mpe hongera mwanamme uliyenaye, anatuwakilisha vyema.

    ReplyDelete
  5. Kikuku hicho!!!

    ReplyDelete
  6. ungewaeleza wasomaji ni nondo ya nini aliyopata hapo college of beuty and entertainment-CBE

    ReplyDelete
  7. zitto kiaratuDecember 05, 2010

    awesome!!! umependeza sana, tunahitaji wakina-mama wa nguvu kama wewe!!!! nakupongeza huku machozi yakinitoka natumaini wasichana wangu Asha na Sahra siku moja watabikiwa kama wewe dada, hapa marekani wakina-mama hasa weusi wanapata nondoz kwa kasi sana. more power to y'all

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...