
BAADA YA KIMYA KIREFU NA KUJIFUA KISAWASAWA, HARDMAD AMERUDI TENA KWA KISHINDO! NA SAFARI HII AMEKUJA NA ALBAMU INAYOKWENDA KWA JINA LA “IMEBAKI STORY” AMBAYO INA JUMLA YA NYIMBO 11 ZILIZOREKODIWA KATIKA STUDIO ZA 41 RECORDS, TATOO RECORD NA MAISHA STUDIOS ZA DAR ES SALAAM NA CLICK STUDO YA COPENHAGEN DENMARK. USANIFU UMEFANYWA KATIKA STUDIO ZA C4 NCHINI DENMARK.
KWA KIPIINDI CHA MWEZI MZIMA HARDMAD ALIKUWA MAJICHIMBIA KAMBINI KWA JILI YA MAZOEZI KWA KUSHIRIKIANA NA KAKA ZAO BAND AMBYO NDIYO BENDI ATAKAYOKUWA AKIFANYA NAYO MAONYESHO.
KARIBUNI
Kwame Mchauru
Maisha Music
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...