Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda, Mb, akimkaribisha Balozi wa Uturiki nchini Tanzania Dkt. Sander Gurbuz alipomtembelea ofisini leo Dar es Salaam.
Mhe. Makinda akipokea taarifa rasmi ya ziara ya Spika wa Bunge la Uturuki atakayoifanya hapa nchini mwanzoni mwa mwaka kesho.
Balozi Gurbuz akimshukuru mwenyeji wake kwa mapokezi mazuri.
Kushoto ni Katibu wa Spika Ndg. Herman Berege




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mama, suti imekukaa vizuri umependeza na ofisi imekupendeza pia. Wanawake hoyeee!

    ReplyDelete
  2. Amependeza kweli..wanawake tuko juu.tena ungembahatisha kumuona akiwa amevaa suruali ungependa anatoka chicha kinoma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...