Mkurugenzi Mkuu wa EximBank Bi. S.M. Mwambenja ( mwenye jaketi la cream) akimpongeza Spika Anne Makinda kwa kuchaguliwa kushika wadhifa huo. Uongozi huo wa EximBank umemtembela Mhe. Spika leo ofini kwake Dar es Salaam. Kulia ni meneja Mkuu wa Benki hiyo Bw.Denish Arora na Msaidiziwa Spika Bw. Herman Berege. Kushoto ni Felister Simba Meneja Mipango wa Wanawake, Lydia Kukogonza Meneja wa Fedha, na Linda Chiza Meneja Msaidizi wa Masokona Mahusiano.
Spika Makinda akifafanua jambo alipokuwa akiongea na uongozi wa Exim Bank ambapo amesisitiza mabenki kutoa mchango wao wa dhati katika kuimarisha uchumi wa taifa.
Bi Mwambenja akimkabidhi zawadi Mhe. Spika
Wakigonganisha glass za juice kama ishara ya kumtakia
Mhe. Spika Makinda heri na Baraka katika utumishi wake mpya.

Picha ya pamoja ya uongozi wa Exim Bank wakimuaga Mhe Spika Makinda baada ya kumtembelea ofisini kwake leo. Picha zote na Prosper Minja wa Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Maza hiyo nguo ya PINK inaonekana anaipenda sana. every wherev!! :)

    Mdau Paris

    ReplyDelete
  2. Naona anahitaji stylist! Kwasasa hatakuwa na muda wa kufanya shopping mwenyewe. Ndugu, jamaa na marafiki itabidi wasaidie. Lakini amependeza sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...