2011 is Here, My Automated Doors R Open For TRUE Friends ONLY & They R Locked For Fake Ones, I Knw I Have Few True Friends & I Knw That, So Don't Think I Don't Knw The Fakes N They Better Stay Away 2011 Coz Ain't Smile At U Good At All. All GOOD Ppl and Good Friends 2 Another.

Come We Celebrate The 1st Day of 2011 With A New Beginning Of True Friendship On VIP ICE BLACK MAGIC 2011 - LONDON
At Ambassador Barking On 01.01.2011 From 9pm - 5am

Forward This To ur Friend N Tell Them
That Mr Gonga Loves U Like 2011 & Hate Selfish Friends

Happy New Year
Frank Mgoyo Sr.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Michuzi,
    Blog yako inaheshimika sana lakini kutuwekea upupu kama huu si vizuri.

    ReplyDelete
  2. PETER MICHUZI NALITOLELADecember 26, 2010

    MR. GONGA, I ALUMNI OF MUZUMBE UNIVESITY OF MULOGOLO, I SAY U STOP CORRUPTZ ZE TANZANIA YOUNGS BECAUSE NOTHINGS IS GOOD IN THE PARTY AT RANWAY. YOU AND MRS. U-TURN ARE SPOILED THE TANZANIA CHIRDEN IN THE CRUB OF PARTY YOU NEEDS TO STOP. BECAUSE JK WILL SEND OLL COPUPTS TO TAKUKURU OF WIKILEAKS OF AMERICA AND EDWARD HOSEA

    ReplyDelete
  3. NAKUBALIANA NA MDAU HAPO JUU HUYU BWANA MWENYE HII CLUB YUKO SO STUPID KILA SIKU UNAAMKA UNAKUTA MIMESEGI YAKE KWENYE SIM KUHUHU HILO LI CLUB LAKE LEO KUNA HIKI KESHO HIKI E BWANA PLSE TANGAZA KWENYE MAGAZE OR KWENYE NET ACHANA NA SIMU ZETU UNABOA MPAKA BASI NA HIZO NUMBA ZA WATU ULIZO NAZO NAKUSHAULI UZIFUTE,HONEST KAMA UNGEKUA ARIBU NINAPO KUWA BUSY HARAFU LMESEJI LAKO LINAINGIA HUWA NATAMANI KUKUFANYA VIBAYA PLSE STOP HUO UPUUZI WAKO HATUPO LONDON KUSELEBUKA MACLUB SAWA SISI WATU WAZIMA NA TUNA MAJUKUMU SAWA MAN PLSE STOP

    ReplyDelete
  4. Huyu jamaa kweli anaboa. Jitu lizima lakini akila ya mtoto wa darasa la nne. Get a real job and take care of your four children frank!

    ReplyDelete
  5. Uncle hata wewe umeona ni jambo la busara kuandika upuuzi wa huyu Kijana? Neno halielimishi wala haliburudishi zaidi ya kujiandikia mambo yake binafsi na inaelekea ana haters wengi kuliko anavyofikiria, Asili ya Mtanzania ni uungwana sasa sisi watanzania hatupendi ulimbukeni wake wa London, aufanyie hukohuko kwa wapuuzi wenzake, tena na kutuma msg kwa simu za watu, tuna mamabo muhimi ya kufanya sio km yeye, aacha hiyo tabia sio nzuri

    ReplyDelete
  6. this is crap.you need to grow up.

    ReplyDelete
  7. This guy is an idiot...kama unatangaza watu kula bata tangaza sio kutushawishi tuje huko kukusaidia kwenye umbea wako...vita zako hazituhusu wala hazihusiani na kula bata sijui kwanini umeandika upuuzi kama huu....wabongo bwana...sijui umeishia darasa la ngapi??

    ReplyDelete
  8. Ni very interesting mtu anapokuwa MSHAMBA na hajijui kama MSHAMBA. Basi wajanja wanapomuona mshamba namna hii kwenye harakati zake ni raha kweli kweli...kama mtu anakutekenya vile...!!

    ReplyDelete
  9. Yaani mtu anayepoteza muda kujali mambo ya "fake and real friends" eithier ni mtoto ama mshamba, kwakua frank hana utoto basi jibu kamili ni MSHAMBA. Tafuta njia nyingine ya kutangaza biashara yako, maana hii sasa inaboa, tambua kwamba kile kipindi cha perfomances za korean culture kimeshapita.Its not too late Mr. Gonga you can start all over again your low simple life dont try to force u-celebrity.

    ReplyDelete
  10. Nyie woote ni wanafiki ni kwa nini msimwambie laivu mnakuja kumwaga jazba zenu humu ndani? wanaume kama mabinti umbea tuu kwani mkimwambia itakuwaje mnautangazia umma umbea wenu, halafu mtakuta kule kwenye facebook mnampongeza vile sura zenu na majina yenu vinafahamika , huku mnakuja kumwaga radhi nyinyi ndo washamba, GROW UP MARA MOJA!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...