Askofu Boazi Sollo (kushoto) akihubiri katika ibada ya Krismasi katika ukumbi wa sekondari ya Mwembetogwa mjini Iringa leo.
Juu na chini ni baadhi ya waumini wa Iringa wakiwa wameungana na wakristo wengine kote ulimwenguni katika ibada ya Krismasi katika ukumbi wa Sekondari ya Mwembetogwa. Picha na mdau Francis Godwin
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...