Home
Unlabelled
JK amwapisha Jaji Mkuu mpya leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jaji mpya anaonesha yuko serious sana.nadhani atatuvukisha kupata katiba mpya bila matatizo.mungu awalinde yeye na JK
ReplyDeleteinaelekea bendi ya polisi ilikuwa inapiga muziki wake wakati Jaji Mkuu anakula kiapo.
ReplyDeletejamani mtatusagia sana wabeba maboksi lakini ukikaa sana huku nje basi kila jambo unataka lifanyike inavyotakiwa.
jamani dr Bilali kawa jaji au ni macho yangu manake duniani wawilix2
ReplyDeletemdau matimbanya!
wa kazi mzimbu!
Haya majoho mekundu tulirithishwa na wakoloni wa kiingereza, ninaona kuna sababu ya kuyabadilisha na kuvaa majoho ambayo yanafanana na mila na desturi zetu za kiafrika.
ReplyDeleteEbu we mdau hapo juu ishia huko na mawazo yako mgando, nyie ndo wale wale kila kitu mkoloni basi nenda kakae porini ule na mizizi uvae na magome ya miti kama kina kinta kunte, na magari yaliletwa na wakoloni pia anza kukwatua na miguu ili udumishe mila, mnajidai na desturi kila siku zipi hizo?
ReplyDeleteAnonymous wa saa 01:04 am umechemsha, huwezi sema kuwa majoho mekundu ni urithi toka kwa waingereza, mbona hata wewe hapo umevaa urithi wa wazungu ? Desturi ya mavazi yetu waafrika ni magome ya miti na majani makavu ndo asilia yetu, kila kitu tunaiga toka kwa wazungu hata computer hii tunayoitumia. Hata kuapishwa ni desturi za wazungu.
ReplyDeletehuyu mwarabu atatusaidia sana kuhakikisha katiba anayoipinga werema inabadilishwa na kuturuhusu sisi waislamu kuanzisha mahakama ya kadhi na kuhakikisha zanzibar inajiunga na oic, na kwamba zanzibar itaongozwa kwa kutumia sharia.
ReplyDelete