Assalam alaykum,
Fungua hiyo website iliyopo hapa
http://tanzil.info/
Upande wa mkono wa kushoto kuna wasomaji wa Qurani wote maarufu, Juzuu zote 30, sura zote pamoja na chaguo la tafsiri ya lugha unayoitaka unaweza kusikiliza au kusoma tafsiri yake, baada ya chaguo lako la lugha unayoitaka. Iguse aya yoyote na utaona tafsiri yake. Tafadhali tuma kwa wengine kwa faida ya umma wa kiislam

Kiungo kizuri. Allah amlipe kila aliyeforward email email hii kwa waislam wenziwe. Na kwa kila herufi iliyosikiwa na kusikilizwa basi Allah amlipe kila mwislam aliyeweza kubofya na kupeleka mbele email hii. Amin!
Mdau wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Shukran, Allah akuzidishie baraka, akupe kila zuri lenye heri duniani na akhera, kwa kutusaidia kutupa njia nyepesi ya kusoma kitabu kitukufu. Na wasomaji wote watakao tumia njia hii inshaaalah nao Allah awajaalie subra na uwezo wa kutafsili kwa matendo walichokisoma na kukielewa kwa faida ya dunia na akhera inshaalaah

    ReplyDelete
  2. Assallaam Alleykum Asante sana kuturushia hii webdite ya Qur'an lakini bora zaidi ni kuweka katika matangazo mengine au magazeti na vyombo vingine vinavyo wafikia wananchi wengi kwani si kila mtu anatumia mitandao ya Computer!,,,Kila la Kheri wa wenye kujitolea kutangaza Dini
    Wabil-llahi-Tawfiq

    ReplyDelete
  3. thanks ndugu kwa hii khabari njema.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...