Home
Unlabelled
kwenda zenji kwa bei poa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Anza wewe kwanza michuzi kwa kucross na jahazi kwenda na kurudi alafu tupe wadau full story ya hukoo njiani then tutafikiria kutumia aina hiyo ya usafiri , na usisahau kusema linatumia mda gani hilo jahaza kufika.
ReplyDeleteankal hizo jahazi zinashukiawapi zenji nawana leseni ama kienyeji?
ReplyDeleteus blogger
acha kupotosha watu michuzi huo ni dhahiri usafiri haramu watu wakifa maji utasema nini una advertise usafiri wa aina hii
ReplyDeleterudi kwenye kuandika ya maana utani huu unaweza cost maisha ya watu
usafiri upo kweli na na kila siku watuwanasafiri , sio salama na chombo hakiruhusiwi kuchukuwa abiria ni kwaajili ya mizigo safari huchukua masaa 6 kikawaida lakini inaweaza kuchukua hadi masaa 10 bahari ikiwa chafu , kama unataka kujaribu njoo na life jacket lako , katika hali ya umasikini inabidi utumie usafairi huuu, slim mdau wa bagamoyo
ReplyDeleteUwo ni ugunduzi mzuri, watu wakianza kuutumia kwa wingi, na ikitokea Majahazi mawili matatu kuzama na watu. Next step wadau wa usafirishaji wataweka boat za kisasa.
ReplyDeleteNi usafifiri muhafaka kama unatoka Bagamoyo kwenda Kusini Unguja- Kizimkazi Mtendeni, Kwele na Chumbe.
Uwo ni ugunduzi mzuri, watu wakianza kuutumia kwa wingi, na ikitokea Majahazi mawili matatu kuzama na watu. Next step wadau wa usafirishaji wataweka boat za kisasa.
ReplyDeleteNi usafifiri muhafaka kama unatoka Bagamoyo kwenda Kusini Unguja- Kizimkazi Mtendeni, Kwele na Chumbe.
hapo mambo swari kama upo juu ya mawe sio wa kila mtuu da natakakujua kunakunegoshieti wadau hapo kama ni jahazi mi natoa buku mbili hapo vipi
ReplyDeletehe he na hilo jahazi huchelewi kujikuta mko mtwara badala ya zenj
ReplyDeleteInsurance ya wasafiri wake imeandikwa hapo hapo kwenye jiwe?
ReplyDeleteheheeheh, huo usafiri hatari, kuna mtu alijaribu mbona hakufika mbali akaomba ashushwe.
ReplyDelete