Mdau aliyetuletea libeneke hili akisubiri kuvuka daraja la wami kuwahi Moshi kuhesabiwa Disemba 24, 2010 ikiwa ni siku moja kabla ya Krismas.
Asante mdau kwa kushe nasi zahma hii
.
moja ilikuwa haikai, mbili ilikuwa haikai...
Noma...
Mojawapo ya ngoma iliyozua tafrani hii..

Ngoma nyingine iliyoleta balaa daraja la Wami

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. PETER MICHUZI NALITOLELADecember 26, 2010

    WAT WA TZ NI BWEGE SANA. INABIDI WAENDE MUZUMBE CHUO KIKUU CH UNIVESITI CHA KULE MOLOGOLO WAKASOME ECONOMY CRISIS ILI WAJUE KUENDESHA MAGALI VIZULI. FYATU TU

    ReplyDelete
  2. wewe mtoa maoni wa kwanza inatakiwa wewe uende zanzibar kule kuna chuo cha taasisi na lugha za kigeni ukasome kiswahili kwanza kabla hata hujatowa maoni kwenye mtandao huu .....utumbo mtupu uliouandika hapo juu..pumbavu mmoja weeeeee

    ReplyDelete
  3. Wewe mtoa maoni PETER MICHUZI NALITOLELA,halafu hili jina la MICHUZI umeliiba na hata hufahamu maana yake.

    Mimi nakwambia wewe ndiwe bwege kwa kuwa kuwa hujui kiswahili ,kwa taarifa yako hakuna chuo kiitwacho 'MUZUMBE CHUO KIKUU CH UNIVESITI' na hakuna mkoa uitwao 'MOLOGOLO'.Ha ha hahah yaani unaandika kama una mapengo ,kajifunze kiswahili vizuri ndio uwe na uwezo wa kuwaita wenzako mabwege. Mwenyewe

    Nicholas Daniel,Netherlands

    ReplyDelete
  4. Ahh watu wengine bwana!!?? yaani wewe mtoa maoni saa 10-17pm unayejiita Peter Nalitolela (wa kwanza hapo juu) Una akili timamu wewe kweli? yaani mtu akasome Economy ndo awe na ujuzi wa kuendesha gari vema? ungetangulia kwanza wewe kusoma LUGHA ya kiswahili halafu dno uje toa Mada zako za kipuuzi, kichwa Boga wewe.

    ReplyDelete
  5. Huyo mtoa maoni ya kwanza hana lolote, sijui anafikiri anamfurahisha nani. Sijui lengo lake hasa ni nini!

    Hakika dunia ina 'wanyama' wa ajabu!.........

    ReplyDelete
  6. PETER MICHUZI NALITOLELADecember 27, 2010

    NYINYI WATU YOU ARE BWEGE SANA. I HAVE DEGILII OF ECONOMY FROM MUZUMBE NIVESITY OF COLLEGE OF MOLOGOLO. AND WAKS AT BOT AND STANDARDS BANK OF TANZANIA. I AM GRAJUET WITH JK, MICHUZI, KANUMBA, HASHEM THABEET OF MEMPHS GRILIS AND YOHANA MASHAKA OF INVEST BANK OF AMELICA. AND I SEE TAKUKURU COME FOR U AND BAD DRIVING TO KEKO. BWANA MUAHACHEGE KUKULUPUKA BWANA MIMI NI MTU MAKINI SANA. NIMETULIA TU SUBIRIRINI NITOKE NA HOJA BINAFSI ZILIZOTULIA TOKA CHUO KIKUU CHA MUZUMBE CHA UNIVESITY

    ReplyDelete
  7. Nyie wadau nadhani ni wageni humu ndani kama hamumjui peter nalitolea aliyesoma chuo kikuu cha mzumbe university ya kule mologolo mtajiju...
    anapenda sana kuandika ovyo kwa makusudi tu mbaya zaidi akikuunganishia na kiinglish ndo utakoma, mwanzoni nilishangaa kama nyinyi nikaja kujua huyu ni jamii ya joti na si vinginevyo!!

    ReplyDelete
  8. Achaneni na huyo Peter Michuzi Nalitolela (kama hilo ni jina lake kweli). Huyu anafanya makusudi kuamsha jazba za watu humu na inaelekea anafanikiwa. Tutoe maoni kuhusu hizi ajali zisizokwisha Bongo, na sio kujadili watu.

    ReplyDelete
  9. Nadhani hapo kwenye daraja la wani wanhitaji kuwa na kituo cha serikali cha zima moto pamoja na gari kubwa la kuweza kuondowa magari yaliyokwama njini, haraka iwezekanvyo, uwezo huo tunao. Lakini wizara husika imelifumbia macho. Inasikitika sana kuona sual dogo linachukuwa siku nzima. Wasomi Tanzania tumeshindwa na wakulima.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...