
Mzee mzima Danny Glover akiwa na Nyota wa Njenje kwenye mnuso fulani hivi karibuni. Kwa taswira hii na nyingine kibao tembelea libeneke jipya la wana njenje
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nchecheme Nchecheme Leo Oyaye ... Njeje inaduarika ktk libeneke, kweli Lambwalambwa Lambwatika na Kilimanjaro Band kwenda na wakati kwa teknohama, hongereni sana.
ReplyDeleteMdau
Honolulu
Visiwani Bahari ya Pasifiki.
Kwa nini miduara huwa inakwenda anti-clockwise siku zote na hatuoni clock-wise motion?
ReplyDelete(US Blogger)
ule wimbo "uliona wapi nyumba ya gorofa kufugia kuku" mbona siusikii redioni?uko kwenye albam gani ninunue?
ReplyDeleteKijogolo sio wimbo wa njenje nyumba ya ghorofa ukifugia kuku ni uchafu mtupu nafikiri ni chezimba ndio walipiga. Sijaona manowari ikipita barabarani michu tutafutie basi
ReplyDelete