Mdau Adrian Njau toka Wizara ya Fedha Tanzania akipozi baada ya kulamba nondozzzz ya MSc in Aid Management toka Chuo Kikuu cha Birmingham University Uingereza hapo siku ya Ijumaa Tarehe 10-12-2010. Anamshukuru Mungu kwa kumwezesha kula nondozzzz na anatoa salamu za Xmas na Mwaka Mpya kwa ndugu, jamaa na wadau wote na ujumbe wa 'Elimu haina mwisho'.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. hongera sana ba mkwe,we'r so proud of u, from australia

    ReplyDelete
  2. HONGERA, NI MATUMAINI YANGU WIZARANI YA FEDHA WATAKUPA FURSA YA KUITUMIA ELIMU HIYO YA "JINSI YA KU-MANAGE MISAADA YA WAFADHILI". ELIMU HIYO NI MUHIMU SANA KWA TAIFA LETU LINALOTEGEMEA ZAIDI MISAADA BADALA YA RASILIMALI ZAKE BWELELEE.

    SITUMAINI KUWA UMEFUNZWA JINSI YA KULA MISAADA HIYO YA WAFADHILI NA BASI USIRUDI NAWEWE UKAINGIA KUNDINI LA WALAJI WA MISAADA.

    NA MUNGU AKUSAIDIE UONGOZE VIZURI
    ALEXBURA - DAR

    ReplyDelete
  3. KK hongera sana! hapo imetulia....

    ReplyDelete
  4. msaada tutani? fazaaa ,ankali mithupu naomba tubandikie bei ya madafu leo maana wengine hata elaa ya sikukuu hatujatuma.


    thenkiuu ankali

    ReplyDelete
  5. Hongera saaana adrian kwa kula nono, xmas itaenda mura kweli..... hongera sana
    mrs michuzi wa fulanaz

    ReplyDelete
  6. waafrika bana tabu tupu. Eti unaona fahari kusoma masters in aid management. Umejidhalisha na kudhalilisha taaluma yako ya Commerce and management uliyoipata mlimani mwaka 97

    ReplyDelete
  7. Ngoja nikurekebishe: Chuo kikuu cha Birmingham Uingereza, kwani ukisema chuo kikuu cha Birmingham University unakuwa unarudia neno lile lile na kupoteza umaana halisi ya habari.

    ReplyDelete
  8. Wabongo bwanaa...mbona mnashindwa kumpa mwenzenu hongera kwa hatua aliyopiga....au nyinyi ndio wale mafisadi wa manenoo??? kha! Wenzetu pande nyingine za dunia wanakibeba kilicho chao kwa mbeleko zoote,kwani ni chao na kitabakia kuwa chao..sasa nyinyi mnabakia kulalama na maneno yasiyo kuwa na maana...vp nyinyi MTABADILIKA LINII???? Hongera sanaa tena sanaaa mdau Adrian kwa hizo nondoz..Mungu akuzidishie!!!

    ReplyDelete
  9. Tutategema misaada hadi lini? Nyerere alikuwa anatufundisha "kujitegemea" sasa naona tunajikita zaidi jinsi ya kukaa na kugonjea mtu aje kutusaidia. Nchi haiwezi kuendelea kwa kutegema misaada.

    ReplyDelete
  10. Hongera saana mdau Adrian kwa nondozz. Ninavyofahamu mimi ni kuwa huyu mdau ana nondozz nyingi maana ana BCom katika mambo ya fedha, ana Master ya Economic Policy kutoka Japan na hii ya Aid Management toka Uingereza ! Msimuonee wivu bali ni changamoto kwenu.Tumekuwa tukipokea misaada mingi toka kwa wafadhili tangu 1961 hadi leo.Nadhani ni vyema mdau Njau akatusaidia namna bora ya kusimamia misaada hii ili iwafikie walengwa hadi hapo tutakapokataa misaada au tutakapochoka kupokea misaada !! Keep it up Njau !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...