KAMPUNI KUBWA YA ULINZI ZANZIBAR INATANGAZA NAFASI KADHAA ZA KAZI YA ULINZI.

SIFA ZA MWOMBAJI
1. Awe Mtanzania mwenye cheti cha kuzaliwa au affidavit.
2. Awe na elimu ya msingi au sekondari.
3. Awe amepitia mafunzo ya JKT au Mgambo.
4. Awe na umri baina ya miaka 23 hadi 35
5. Urefu zaidi ya futi 5 itkuwa nzuri zaidi.

Kwa nafasi za Supervisors, mwombaji atatakiwa awe na uwezo wa kuandika na kuzungumza kiingereza pamoja na sifa hizo hapo juu.

SEHEMU YA KUFANYIA KAZI ITAKUWA ZANZIBAR TU.
Mwombaji atatakiwa kuwa na makazi kwa muda wa wiki 3 za mafunzo na baada ya hapo anaweza kubahatika kupata makazi bure.

Kwa maelezo zaidi, piga simu namba 0767 237 168

Tafadhali mwambie mwenzio habari hizi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Zanzibar kuna JKU na Volunteer. Mbona sifa hizo hukuzitaja? Au hutaki kuajiri wazanzibari!

    ReplyDelete
  2. Katika hiyo Age range, ni vigume kupata mtu aliyepitia JKT kwa sababu generation yenye age hiyo ilikuta JKT imeshasitishwa. Kwa maana hiyo basi hili tangazo ilikuwa more relevant litaje mtu mwenye experience ya Mgambo tu.

    ReplyDelete
  3. Taja mshahara wewe!au nyie ndio mnaochukua mikataba minono toka kwa wawekezaji uchwara halafu mnalipa watanzania elfu 70 hakuna bima wala mifuko ya hifadhi ya jamii.

    ReplyDelete
  4. Nipe muongozo wa kufanya kazi kwenye shilika hili nime pitia mafunzo ya awali mgambo jeshi laakiba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...